Jumuiya ya kimataifa yaiunga mkono China katika vita dhidi ya virusi vya korona
Jumuiya ya kimataifa yaiunga mkono China katika vita dhidi ya virusi vya korona
Nchi nyingi na mashirika ya kimataifa yametoa vifaa na uungaji mkono mwingine kwa China kwa ajili ya kupambana na kudhibiti mlipuko wa virusi vya korona.
Mpaka jana Alhamisi, China imepokea vifaa na misaada mingine kutoka Belarus, Pakistan, Korea Kaskazini, Korea Kusini, Japan, Thailand, Malaysia, Indonesia, Maldives, Myanmar, Ujerumani, Uingereza, Ufaransa, Italia, Austria, Hungary, Kazakhstan, Latvia, Estonia, Uturuki, Iran, UAE, Algeria, Misri, Guinea ya Ikweta, Australia, New Zealand, Canada, Trinidad and Tobago na Ghana, pamoja na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |