• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyakula maalumu vya Boao

    (GMT+08:00) 2009-12-07 17:07:16

    Mkahawa huu unauza kitoweo cha kamba wakubwa, wanaoitwa kamba Piba, ambao ni tofauti na kambamti na kamba Jiwei, kamba wa aina hii ni zao maalum la baharini la Boao. Kwa sababu hapa ni mahali ambapo yanakutana maji ya mtoni na baharini, hivyo kuna mazao mazuri maalum wakiwemo kamba Piba, ambao nyama yake ni nzuri zaidi kuliko kambamti.

    Mkahawa huu unavutia wateja wengi, hususan wageni wa sehemu mbalimbali za nje, vilevile wako baadhi ya wateja wanaofika mara kwa mara, baadhi yao wanatoka mji wa Guangzhou, ambao wanakuja kwa magari binafsi, pia wengine waliotoka sehemu ya kaskazini. Kwa sababu bei za vitoweo vya mkahawa huu siyo ghali, kwa hiyo mkahawa huu unapendwa na watu wengi wa huko.


    1 2 3
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako