• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndoa kati ya wachina na waafrika imekuwa ni sehemu ya kubadilishana utamaduni

    (GMT+08:00) 2014-11-13 14:16:12

    Yue Yujiao kutoka China na Olusegun Adekanmi kutoka Nigeria wakati wa harusi yao katika ubalozi wa Nigeria mjini Beijing.

    Wasimamizi wa haruzi ya Yue Yujiao na Olusegun Adekanmi. Wanasema kwa jumla hakuna tofauti kubwa ya harusi zinazofanyika Afrika na hapa china. Afrika pia kunao wasimamizi na mwanaume anayesimamia anavaa sawa na bwana harusi.

    Olusegun Adekanmi ampongeza mke wake Yue Yujiao na kumpiga busu mkononi baada ya kuvishana pete.


    1 2 3
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako