• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Disemba 17-23)

  (GMT+08:00) 2016-12-23 20:56:51

  Jeshi la serikali la Syria latangaza kukombolewa kwa mji wa Aleppo

  Jeshi la serikali la Syria limetoa taarifa likitangaza kukombolewa kwa mji wa kaskazini wa nchi hiyo Aleppo, baada ya waasi wote waliobaki kuondoka kutoka mji huo.

  Taarifa hiyo inasema, ushindi huo ni hatua muhimu kwenye vita dhidi ya ugaidi, na pia ni pigo kubwa kwa makundi ya kigaidi na wafuasi wao, na umeweka msingi kwa hatua zijazo za kuondoa makundi yote ya kigaidi nchini Syria na kukomboa ardhi yote ya Syria.

  Kwenye taarifa hiyo jeshi la Syria limetoa mwito tena kwa waasi wote waweke chini silaha na wajisalimishe.


  1 2 3 4 5 6 7 8
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako