• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 21-Januari27)

    (GMT+08:00) 2017-01-27 18:40:14

    China yajiandaa kwa sherehe za mwaka mpya wa kichina

    Mamilioni ya wachina duniani wameungana na familia zao kujiandaa kuadhimisha sherehe za mwaka mpya wa jadi wa kichina.

    Nchini China maelfu ya wananchi wa China hutembea katika sehemu za vijijini kujumuika na jamaa zao kuadhimisha sherehe hizo huku wakipiga mafataki na kucheza ngoma za asili zinazoambatana na maonesho ya michezo mbalimbali ukiwemo mchezo maarufu wa 'Dragon'

    Sherehe hizo pia zinatarajiwa kuadhimishwa kwa shangwe jijini Nairobi kwani wachina hujumuika katika afisi za balozi wa China kushereheka na wenzao.

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa salamu za mwaka mpya kwa wachina

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ametuma salamau za heri ya mwaka mpya kwa watu wa China.

    Katika salamu zake kwa njia ya ya video, Bw. Gutettes amesema, mwaka wa jogoo unaashiria kuanza mapema na mwanzo mpya, ambao unasisitiza umuhimu wa uhai, dhamira na uwajibikaji mkubwa katika kazi.


    1 2 3 4 5 6 7
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako