• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 21-Januari27)

  (GMT+08:00) 2017-01-27 18:40:14

  Watu zaidi ya milioni moja duniani waandamana kupinga Bw Trump kuwa rais wa Marekani

  Tangu Bw. Donald Trump aapishwe kuwa rais mpya wa Marekani, maandamano yamefanywa katika miji zaidi ya 20 kote duniani, ikiwemo London, Sydney, Tokyo, Mexico City na miji mbalimbali ya Marekani.

  Watu zaidi ya milioni moja wameandamana kupinga Donald Trump kuapishwa kuwa rais mpya wa Marekani na kauli zake zinazohusiana na ubaguzi wa rangi na jinsia, na sera ya kujilinda kibiashara.


  1 2 3 4 5 6 7
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako