• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 18-Februari 24)

    (GMT+08:00) 2017-02-24 18:08:26

    Rais Trump wa Marekani ameteua mshauri mpya wa usalama wa taifa

    Rais Donald Trump wa Marekani amemteua Jenerali Herbert McMaster kuwa msaidizi wake mpya wa mambo ya usalama wa taifa, badala ya Jenerali Michael Flynn aliyejiuzulu hivi karibuni.

    Rais Trump amesema, Bw. McMaster anaheshimiwa na jeshi la Marekani, na anafurahia kuwa ameweza kujiunga na Ikulu ya Marekani.

    Bw. McMaster amesema, kulinda usalama wa wananchi wa Marekani na ardhi ya Marekani litakuwa ni jukumu lake kuu. Atafanya juhudi kumsaidia rais Trump kukabiliana na matishio yenye utatanishi.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako