• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Machi-10 Machi)

    (GMT+08:00) 2017-03-10 20:14:55

    Mkutano wa pili wa wajumbe wa Mkutano wa tano wa Kamati kuu ya 12 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa la China wafanyika

    Mkutano wa pili wa wajumbe wote wa Mkutano wa tano wa Kamati kuu ya 12 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa la China umefanyika wiki hii katika Jumba la mikutano ya umma hapa Beijing na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC Bw. Yu Zhengsheng.

    Katika mkutano huo, wajumbe 14 wametoa hotuba kwa kufuata kanuni ya ujenzi wa uchumi na masikilizano kati ya binadamu na mazingira ya kimaumbile.

    Mjumbe wa baraza hilo Bw. Li Shouzhen amesema, inapasa kuandaa wafanyakazi wa viwanda wenye uwezo mkubwa, na kuweka mazingira mazuri yanayozingatia uwezo wa wafanyakazi bila ya kujali elimu, ili kuifanya China iwe nchi yenye uwezo mkubwa wa utengenezaji.

    Naye Liu Jixian amesema, inapaswa kuhimiza maendeleo yenye uwiano kati ya teknolojia ya kijeshi na ya umma, ili kuongeza ushindani wa kijeshi duniani.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako