• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Aprili-21 Aprili)

  (GMT+08:00) 2017-04-21 19:21:05
   

  Rais wa Palestina kukutana na mwenzake wa Marekani

  Rais Mahmoud Abbas wa Palestina anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Marekani Bw. Donald Trump katika Ikulu ya Marekani tarehe 3 mwezi Mei. Taarifa iliyotolewa na msaidizi wa rais Abbas inasema rais Abbas ataeleza ahadi yake ya kutimiza amani ya haki na ya pande zote, ambayo itachangia amani na usalama kwenye kanda ya Mashariki ya kati na hata dunia nzima.


  1 2 3 4 5 6 7 8 9
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako