• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Aprili-21 Aprili)

  (GMT+08:00) 2017-04-21 19:21:05

  Watu 6 wauawa katika mlipuko uliotokea mkoani Aleppo nchini Syria

  Televisheni ya taifa ya Syria imesema watu 6 wameuawa na wengine 32 kujeruhiwa mapema leo katika mlipuko uliotokea Salahuddien, kaskazini mwa mji wa Aleppo nchini Syria.

  Mkoa wa Aleppo umeendelea kuwa na utulivu tangu jeshi la nchi hiyo lidhibiti sehemu ya mashariki ya mji huo mwishoni mwa mwaka jana, lakini umeshambuliwa na makombora yanayorushwa kutoka maeneo yanayodhibitiwa na waasi pembezoni mwa mji huo.


  1 2 3 4 5 6 7 8 9
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako