• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (21 Oktoba-27 Oktoba)

  (GMT+08:00) 2017-10-27 18:17:15

  Waasi wa kikosi cha ADF wafanya shambulizi huko Beni, mashariki mwa DRC

  Waasi wa kikosi cha ADF cha Uganda wamefanya shambulizi huko Beni mkoani Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.

  Shambulizi hilo limetokea umbali wa mita kadhaa kutoka kituo cha kibiashara cha mji huo, huku washambuliaji na askari wa serikali wakipambana.

  Shambulizi hilo limetokea wakati balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Bibi Nikki Haley amewasili huko Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini, ambao umesumbuliwa na makundi ya kisilaha kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako