• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (21 Oktoba-27 Oktoba)

  (GMT+08:00) 2017-10-27 18:17:15

  Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefungwa jana hapa Beijing

  Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefungwa wiki hii Beijing.

  Mkutano huo umekubali kwa kauli moja kuiweka Fikra ya rais Xi Jinping kuhusu Ujamaa wenye umaalumu wa China kwenye katiba ya chama, na kuwaita wanachama wote wajifunze kwa nia imara zaidi na kwa hiari zaidi na kuitekeleza katika mchakato mzima wa ujenzi wa nchi na ujenzi wa chama katika siku za baadaye.

  Fikra ya Xi Jinping kuhusu Ujamaa wenye umaalumu wa China wa zama mpya imejibu kikamilifu namna Chama cha Kikomunisti cha China kinavyoshikilia na kuendeleza mada hii kubwa katika zama hizi, na kuanzisha hali na sura mpya ya Ujamaa wenye umaalumu wa China.

  Mkutano mkuu wa Chama wa awamu mbalimbali umerekebisha katiba ya chama na kuonesha umaalumu wa zama tofauti.

  Kwenye mkutano mkuu uliofungwa jana, chama tawala cha CPC kimetoa hoja muhimu ya kisiasa, kikisema migongano mikubwa kwenye jamii ya China imebadilika, na maendeleo ya Ujamaa wenye umaalumu wa China yameingia kwenye zama mpya.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako