• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Novemba-1 Desemba)

  (GMT+08:00) 2017-12-01 19:39:45

  Mvutano waendelea kuhusu uchaguzi DRC

  Watu kadhaa wafuasi wa upinzani walikamatwa wiki hii wakati polisi waliposambaratisha maandamano ya upinzani waliojitokeza kumshinikiza rais Joseph Kabila kujiuzulu mwisho w amwaka huu na kutaka kuundwa kwa serikali ya mpito.

  Wito wa kuandamana uliotolea na kiongozi wa muungano wa upinzani Rassambalemnt elis Tshisekedi.

  Miongoni mwa watu waliokamtwa ni Katibu mkuu wa chama cha UDPS Jean Marc Kabung na wabunge watatu wa chama hicho ambao baadaye waliachilwia huru.

  Hata hivyo upande wa chama tawala wametupilia mbali madai kwamba upinzani umefaanikiwa katika maandamano hayo.

  hali ya wasiwasi imeendelea kushuhudiwa nchini DRC, huku vyama vya upinzani vikiomba rais Kabila Ajiuzulu kabla ya tarehe 30 Desemba, 2017.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako