• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Desemba-22 Desemba)

  (GMT+08:00) 2017-12-22 20:27:01

  Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amewahimiza wananchi wa Zimbabwe wanaoishi nchi za nje kurudi nyumbani baada ya kujiuzulu kwa rais wa zamani Robert Mugabe.

  Akiwahutubia wazimbabwe wanaoishi nchini Afrika Kusini, rais Mnangagwa amesema ni bora wazimbabwe warudi nyumbani na kutumia ujuzi waliopata katika nchi jirani, kusaidia kufufua uchumi na maendeleo ya taifa lao. Pia amehimiza wananchi wake kusahau yaliyopita na kuangalia maisha mazuri ya mbele.

  Habari zinasema, katika miaka 37 ya uongozi wa rais Mugabe, mamilioni ya wazimbabwe walikimbilia nchi za nje, wengi wao wako Afrika Kusini.

  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako