• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 30-Aprili 5)

  (GMT+08:00) 2019-04-05 19:41:00

  Malawi yaanza kurejesha raia wanaotaka kurudi nyumbani baada ya mashambulizi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

  Serikali ya Malawi imetangaza kuwa itarejesha wananchi wake walioathirika na mashambulizi kutokana na chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini kuanzia Jumatano.

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ya Malawi Bibi Rejoice Shumba, Jumanne alisema kutokana na msaada wa Shirika la kimataifa la uhamiaji, kundi la kwanza lenye wahanga 35 wa Malawi lilitarajiwa kurudi nyumbani Jumatano.

  Msemaji huyo alisema kuna wamalawi 105 wanaotaka kurudi nyumbani, kwani wanaona usalama wao nchini Afrika Kusini uko hatarini.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako