• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 30-Aprili 5)

  (GMT+08:00) 2019-04-05 19:41:00
   

  Wapalestina waandamana karibu na mpaka wa Israel

  Maelfu ya Wapalestina, wameandama karibu na mpaka wa Israel kuadhimisha mwaka mmoja, baada ya mapigano katika ukanda wa Gaza.

  Wapalestina wanawakumbuka wenzao zaidi ya 200 waliouawa baada ya mapigano ya siku kadhaa kati ya wapiganaji wa kundi la Hamas na wanajeshi wa Israel.

  Wakati wa maandamano hayo, Mpalestina mmoja aliuawa baada ya kupigwa risasi na wanajeshi wa Israeli.

  Waandamanaji waliwarushia mawe wanajeshi wa Israeli ambao walilazimika kuwashambulia.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako