• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 11-Mei 17)

  (GMT+08:00) 2019-05-17 19:35:33

  Daktari achunguzwa kwa kuwapa sumu watu 17 Ufaransa

  Wiki hii nchi ya Ufaransa ilianzisha uchunguzi wa uhalifu dhidi ya daktari mmoja nchini humo anayeshutumiwa kuwapasumu watu 17 nchini Ufaransa.

  Frédéric Péchier, pia anachunguzwa kwa visa vingine saba vya kuwapa sumu watu tisa ambao walikufa.

  Waendesha mashtaka katika kesi yake wanasema alimdunga kwa makusudi daktari mwenzake dawa ya ganzi ili kusababisha dharura ili aonyeshe utaalamu wake.

  Bwana Péchier alikanusha madai yote lakini hivi sasa anakabiliwa kifungo cha maisha iwapo atapatikana na hatia. Hata hivyo wakili wake, Jean-Yves Le Borgne amenukuliwa akisema kuwa uchunguzi haujathibitisha lolote.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako