• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (July 20-July 26)

    (GMT+08:00) 2019-07-26 19:44:19

    Idadi kubwa ya Waganda wahamia India

    Data za sensa kuhusu uhamiaji nchini India zinaonyesha kuwa kiwango cha watu kutoka Uganda wanaohamia nchini humo kimeongezeka kwa haraka , kwa kiwango cha maelfu ya watu.

    India imekuwa na uhusiano wa muda mrefu na Uganda.

    Mnamo miaka ya 1890, takriban wahindi 40,000 I wengi wao kutoka Punjabi , waliletwa Uganda kama wafanyakazi wahamiaji kujenga leri ya Uganda inayounganisha nchi hiyo na mji wa Mombasa nchini Kenya hadi Kampala Uganda. Walilazimishwa kuondoka nchini humo mnamo mwaka 1972 kwa amri ya mtawala wa kijeshi Idi Amin, ambaye aliwashutumu "kunyonya pesa za Uganda". (wengi wao walirejea tena Uganda miaka ya 1980 na 1990, na kuwa mhimili wa uchumi wa taifa )

    Mambo haya yote yalichezwa katika maagizo ya Hollywood kama The Ghost na the Darkness (1996) na The Last King of Scotland (2006). Idadi ya watu nchini India imeongezeka kutoka kiwango cha watu milioni 181 hadi bilioni 1.21 kwa kipindi cha muongo mmoja tangu 2011, kwamujibu wa matokeo ya sensa.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako