• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (July 20-July 26)

    (GMT+08:00) 2019-07-26 19:44:19

    Rapper wa Marekani Jay Z adaiwa kuwa na asili ya Rwanda

    Mwanamuziki wa Rap na milionea wa Marekani amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni miongoni mwa Wanyarwanda, wakidai ana asili ya Rwanda.

    Ikiwa Beyoncé aliamua tu kunogesha wimbo wake kwa kutumia maneno hayo, au ni kweli mwanamuziki huyo maarufu wa Marekani ana asili ya Rwanda, mambo haya kuwa ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii nchini Rwanda. Gumzo hilo la mtandaoni lilitokana na wimbo wa mke wake Jay -Z, Beyoncé Giselle Knowles- Charter aliouita ''Mood 4 Eva'' katika albamu yake mpya aliyoiita "The Lion King: The Gift", ambapo ilisikika akisema: "My baby father" has a bloodline- akimaanisha baba wa mtoto wake ana asili ya Rwanda katika wimbo wake. Wengi wamekuwa wakijaribu kuwaza kuhusu uwezekano wa Jay Z kuwa Myararwanda. Huku baadhi wakidiriki hata kusema kuwa wana undugu wa damu na bilionea huyo.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako