• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (August 24-August 30)

  (GMT+08:00) 2019-08-30 18:48:16

  Kikosi cha Somalia chamtia mbaroni mkuu wa al-Shabab anayehusika na mlipuko mjini Mogadishu

  Mamlaka ya usalama ya Somalia imemhoji kiongozi wa juu wa kundi la al-Shabab ambaye anahusishwa na shambulizi la karibuni lililosababisha kifo cha waziri wa zamani wa mkoa wa Banadir Mohamed Amin Sheikh Elmi.

  Shirika la usalama na upelelezi la Somalia NISA limesema, mtuhumiwa huyu alikamatwa nyumbani kwake mjini Mogadishu. Polisi pia wamekamata simu, betri na vitu vya kutengeneza mabomu.

  Habari zinasema, Bw. Elmi amefariki kutokana na majeraha mabaya baada ya gari lake kushambuliwa kwa bomu.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako