• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 26-Novemba 1)

  (GMT+08:00) 2019-11-01 20:45:37

  China yaungwa mkono katika vita dhidi ya ugaidi

  Nchi 54 zimetangaza kwa pamoja kuunga mkono hatua za China cha kukabiliana na ugaidi na msimamo mkali katika Mkoa Unaojiendesha wa Xinjiang Uygur.

  Taarifa hiyo ilitolewa na Balozi wa kudumu wa Belarus kwenye Umoja wa Mataifa Valentin Rybakov kwa niaba ya nchi hizo 54, wakati wa mjadala kuhusu haki za binadamu katika Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo jana.

  Taarifa hiyo imepongeza mafanikio yaliyopatikana nchini China katika kuendeleza filosofia ya maendeleo yanayowalenga watu, na kusema hatua zilizochukuliwa na serikali ya China zimelinda haki za msingi za kibinadamu kwa watu wa makabila yote katika mkoa huo.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako