• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 11-Januari 17)

  (GMT+08:00) 2020-01-17 18:57:01
  Mbunge wa Embakasi Babu Owino amekamatwa baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya DJ katika Klabu moja jijini Nairobi

  Mbunge wa Embakasi Babu Owino amekamatwa baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya DJ katika Klabu moja jijini Nairobi.

  DJ aliyetambuliwa kama Felix Orinda maarufu kama DJ Evolve yuko katika hali mbaya katika hospitali ya Nairobi ambapo alikimbizwa baada ya kupigwa risasi shingoni.

  Inaripotiwa kuwa DJ Evolve aliingia kwenye ugomvi na Owino klabuni, kabla ya kupigwa risasi.

  shoo hiyo kutokea karibu saa 7 asubuhi. Wawili hao ni marafiki wa kifuani, washirika wa karibu walisema. Wawili hao ni marafiki , marafiki wa karibu wamesema lisema.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako