• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 25-Januari 31)

  (GMT+08:00) 2020-01-31 20:40:52
  Jumla ya watu wawili wanadaiwa kupatikana na virusi vya corona nchini Uingereza

  Mkuu wa idara ya afya nchini Uingereza amesema watu hao wawili wanatoka katika familia moja na hivi sasa wanaendelea kupata matibabu.

  Hata hivyo hakuna taarifa iliyotolewa zaidi kuhusu familia hiyo na wapi wanapopatiwa matibabu.

  Takriban watu 213 nchini china wamepoteza maisha kutokana na virusi hivyo na wengine 10,000 kuathirika na virusi hivyo.

  Watu 98 wamegundulika kuwa na virusi katika nchi nyingine 18.

  Shirika la afya duniani limetangaza mlipuko wa virusi vya corona ni janga duniani.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako