• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 25-Januari 31)

  (GMT+08:00) 2020-01-31 20:40:52

  Sauti Sol lasaini mkataba na kampuni ya Kimataifa ya Universal

  Kikundi cha Muziki cha Sauti Sol kutoka Kenya kupitia mtandao wa Instagram kimetangaza kuwa wamesaini mkataba na kampuni ya kurekodi muziki ya Universal na kwamba albamu yao mpya ya Midnightrain, inayotarajiwa kwa hamu na mashabiki wao itazinduliwa kupitia nembo hiyo ya Universal Music Group.

  Sautisol wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia vibao vyao kadhaa ikiwemo wimbo wa 'Short and sweet'.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako