• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 1-February 7)

  (GMT+08:00) 2020-02-07 20:11:32

  Mikoa 9 kukumbwa na Mvua kubwa nchini Tanzania, TMA yatoa tahadhari na athari zitakazo jitokeza

  Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania (TMA),siku ya jumatano ilitoa utabiri wa siku tano leo tarehe na angalizo la Mvua kubwa kunyesha kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Morogoro Kusini, Mbeya, Songwe, Njombe, Rukwa, Iringa na Ruvuma.

  Kwa mujibu wa TMA, athari ambazo zinaweza kujitokeza ni pamoja na Baadhi ya makazi kuzungukwa na Maji, ucheleweshwaji wa usafiri, kusimama kwa muda baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

  Hivyo Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) imewataka wananchi kuzingatia taarifa na kujiandaa.


  1  2  3  4  5  6  7  8  9  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako