• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 22-February 28)

    (GMT+08:00) 2020-02-28 20:29:41

    Marekani yaonya huenda Kenya ikashambuliwa na magaidi

    Marekani kupitia ubalozi wake nchini Kenya umeonya kuwa huenda magaidi wakashambulia hoteli moja kubwa nchini Nairobi.

    Imesema hoteli iliolengwa ni maarufu kwa kuwa hutembelewa sana watalii na wanabiashara.

    Wakenya wamtakiwa kuwa waangalifu wakati wanapotembelea ama kuishi katika hoteli mjini Nairobi.

    Wakati huohuo Inspekta jenerali wa polisi nchini Kenya Hilary Mutyambai amewaomba Wakenya kuwa watulivu , akisema idara ya polisi imeimarisha usalama nchini kote mbali na kulinda mipaka yote.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako