• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 7-Machi 13)

    (GMT+08:00) 2020-03-13 19:58:50

    Kundi la wasichana kutoka Shule ya Upili ya Wasichana ya Kisumu wameshtua wengi kwa kuunda programu ambayo inaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya ukeketaji wa uke (FGM)

    Kundi la wasichana kutoka Shule ya Upili ya Wasichana ya Kisumu wameshtua wengi kwa kuunda programu ambayo inaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya ukeketaji wa uke (FGM).

    Mnamo Oktoba, 2019, wasichana hao wanne walikuwa miongoni mwa watu walioteuliwa kwa tuzo ya kifahari ya kimataifa na Bunge la Ulaya.

    Wasichana hao, kati ya miaka 18 na 19, ni Stacy Adhiambo, Purity Achieng, Ivy Achieng, Cynthia Otieno na Macrine Akinyi. Macrine na Ivy wako katika mwaka wao wa mwisho katika shule ya upili wakati wengine sasa wako chuo kikuu.

    Yote ilianza na hamu kubwa ya kufanya kitu kusaidia wasichana wasio na uwezo katika kulamizashwa kupitia tamaduni zilizopitwa na wakati.

    Ijapokuwa imepigwa marufuku, FGM inaendelea kustawi nchini Kenya, na inafanywa katika jamii zingine licha ya kwamba utamaduni mbaya umedai mamia ya maisha ya wanawake vijana kwa miaka iliyopita.

    Wanafunzi hao watano wa Kenya waliuunda programu I-cut, ya rununu ambayo inakusudiwa kusaidia waathirika na waathiriwa na FGM kukabiliana na uovu.

    Programu ya simu ya mkononi itaunganisha wasichana ambao wako hatarini ya kukeketwa.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako