• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei2-Mei 8)

    (GMT+08:00) 2020-05-08 19:36:23
     

    Kundi la kwanza la Wakenya 232 laiingia nchini kutoka India na ndege maalum ya Kenya Airways kutoka Mumbai.

    India ni nchi inayojulikana kwa Wakenya wanaotafuta matibabu, na tangu kuwekwa kwa zuio la kuto toka nje nchi nzima watu wengi walikwama nchi humu baada ya ndege kusitisha safari zake.

    Kenya pia ilisitisha ndege za kimataifa; kuwazuia wagonjwa kurudi nyumbani baada ya matibabu.

    Wengine walikuwa wamesafiri kwa biashara, kama watalii pamoja na kutembelea jamaa zao lakini walishikwa na kizuizi hicho.

    Kundi cha kwanza cha Wakenya 232 kiliingia nchini kutoka India na ndege maalum ya Kenya Airways kutoka Mumbai.


    1  2  3  4  5  6  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako