• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 31-Novemba 6)

    (GMT+08:00) 2020-11-06 16:54:56
    Uingereza na Italia kuanza hatua kali za kuzuia corona

    Alhamisi kwa mara ya pili tangu kuzuka ugonjwa wa COVID-19, Uingereza ilianza kutekeleza hatua za kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na amri ya watu kusalia majumbani mwao. Waziri Mkuu wa UIngereza Boris Johnson, alitangaza hatua hizo baada ya idadi ya vifo ya kila siku kufika kiwango cha juu zaidi tangu mwezi Mei, na kuonya kwamba bila ya kufanya hivyo hospitali zinaweza kuzidiwa na idadi ya wagonjwa. Johnson amesema hakuna serikali inayofurahia kuwawekea wanachi wake vikwazo vya aina hiyo, isipokuwa kwa maslahi yao wenyewe. Hatua sawa na hizo pia zinazingatiwa Uskochi, Wales, Ireland ya Kaskazini, Ufaransa pamoja na Ujerumani. Aidha, baadhi ya sehemu za Italia zilijiunga na orodha hiyo kuanzia Ijumaa.


    1  2  3  4  5  6  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako