• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 7-Novemba 13)

    (GMT+08:00) 2020-11-12 20:35:19
    Bunge lampitisha Kassim Majaliwa kwa kura zote kuwa Waziri Mkuu

    Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa amethibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kupata kura 350 kati ya kura 350 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Majaliwa anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili (2020-2025).

    Baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitishwa na bunge kwa asilimi 100, amezungumza kumshukuru Rais Magufuli pamoja na wabunge.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako