• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Kuyumbishwa kwa mkutano mkuu wa G20 kunavuruga matumaini ya jumuiya ya kimataifa 2013-09-05
    Tishio la Marekani la kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Syria limeongeza hatari ya kuyumbisha mkutano mkuu wa G20 utakaofanyika hivi karibuni, ambao unapaswa kufuatilia mambo ya uchumi duniani.
    • Rais Xi Jiping atafanya ziara katika nchi za Asia ya Kati na kufafanua sera ya mambo ya nje ya China kwa kanda hiyo 2013-08-27
    Wizara ya Mambo ya Nje ya China leo imesema rais Xi Jiping atafanya ziara katika nchi nne za Asia ya Kati na kuhudhuria mkutano wa wakuu wa kundi la nchi 20 (G20) na mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai. Wakati wa ziara yake, rais Xi atafafanua sera kamili kuhusu mambo ya nje inayofuatwa na serikali ya awamu mpya ya China kwa Asia ya Kati, na kutoa mapendekezo mapya ya kuimarisha ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za kanda hiyo. Kuhusu kama mkutano wa wakuu wa China na Japan utafanyika wakati wa mkutano wa G20, wizara ya mambo ya nje imesema, hakuna msingi wa kufanyika kwa mkutano huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako