Mkutano mfupi kuhusu historia ya chama cha kikomunisti cha China (CPC) umefanyika kwenye mji wa Urumqi
2021-02-22 19:01:39| cri

Mkutano mfupi kuhusu historia ya chama cha kikomunisti cha China (CPC) umefanyika kwenye mji wa Urumqi, wa mkoa unajioendesha wa kabila maalum la Uygur wa Xinjiangm kaskazini magharibi mwa China. Kwenye mkutano huo wanasiasa waandamizi kutoka sehemu mbalimbali duniani walipongeza uongozi imara wa CPC na juhudi za China za kupambana na umaskini na kuleta mshikamano wa makabila mkoani Xinjiang.