Je, uliwahi kusafiri kwa reli ya SGR?
2021-02-22 15:02:32| cri

Mwaka 2017 reli ya SGR inayotoka Mombasa kuelekea Nairobi iliyojengwa na kampuni ya China imezinduliwa rasmi. Reli hiyo imekuwa alama ya hatua kubwa katika ujenzi wa utandawazi na mtandao wa reli wa Afrika Mashariki, ambayo pia imeleta urahisishaji na faida kwa wakazi wa huko.