Rais Xi ashiriki kwenye majadiliano na wajumbe kutoka Mongolia ya Ndani wanaohudhuria mkutano wa Bunge
2021-03-05 19:26:33| CRI

Rais Xi Jinping wa China, leo mchana ameshiriki kwenye majadiliano na wajumbe kutoka Mongolia ya Ndani wanaoshiriki Mkutano wa Nne wa Bunge la 13 la Umma la China.