Rais Xi Jinping ahudhuria ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa NPC
2024-03-05 09:44:56| cri

Bunge la 14 la Umma la China limefungua kikao chake cha pili asubuhi ya Jumanne kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing.

Rais Xi Jinping na viongozi wengine wa China wamehudhuria ufunguzi wa mkutano huo.