Rais Xi Jinping wa China kutoa hotuba kwenye ufunguzi wa kongamano la Boao
2021-04-19 18:56:15| cri

Rais Xi Jinping wa China kutoa hotuba kwenye ufunguzi wa kongamano la Boao_fororder_VCG111326353610

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying, amesema rais Xi Jinping wa China kesho atashiriki kwenye ufunguzi wa kongamano la Boao la Asia kwa njia ya video na kutoa hotuba.

Rais Joko Widodo wa Indonesia, rais Thongloun Sisoulith wa Laos, rais Jae-in Moon wa Korea Kusini, rais Halimah Yacob wa Singapore, mwenyekiti wa Baraza la 75 la Umoja wa Mataifa Bw. Volkan Bozkr, rais wa Shirika la Fedha Duniani IMF, Bibi. Kristalina Ivanova Georgieva-Kinova na viongozi wengine wa nchi na mashirika mbalimbali ya kimataifa pia watashiriki kwenye kongamano hilo kwa njia ya video.