Kama usipodhibiti mapungufu yako, basi yatakutawala mpaka ushindwe kabisa
2021-09-13 16:54:59| CRI

Kama usipodhibiti mapungufu yako, basi yatakutawala mpaka ushindwe kabisa_fororder_Hadithi za Jadi

Ni mstari wa shairi lililotungwa na mhenga wa enzi ya Qing, China Gong Zizhen, ukikemea vitendo vya ufisadi na rushwa kwani tunafahamu kuwa “rushwa ni adui wa haki”.