Bahari haina mipaka, tunasafiri kwa kufuata upepo
2021-09-13 16:43:40| CRI

Kila tawi au jani huko nje linanigusa hisia yangu_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni mstari wa shairi lililotungwa katika enzi ya Tang, miaka elfu moja iliyopita, na maana yake ni kuwa hakuna vizuizi vyovyote vya kijiografia vinavyoweza kutuzuia kukutana na marafiki wa mbali, ni kweli hii ni sawa na kusema“Milima haikutani lakini binadamu hukutana”.