Bandari ya Lamu yatambulika duniani
2021-09-23 14:21:04| cri

图片默认标题_fororder_timg (2)

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahanmisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti inayohusu Kenya kupongeza ushirikiano wake na China kwa kuifanya bandari ya Lamu kutambulika duniani. Pia tutakuwa na mahojiano na Profesa Hamphrey Moshi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania kuhusu miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China.