China yajitahidi kuisaidia Afrika kuandaa wataalamu wazawa wa anga za juu
2021-10-14 10:48:22| CRI

Mtaalam wa kilimo wa Kenya aeleza matumaini yake juu ya ushirikiano kati ya Afrika na China katika mambo ya kilimo

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji utasikia habari mbalimbali kuhusu nchi za Afrika na China, pia tutakuwa na ripoti itakayozungumzia China inavyojitahidi kuisaidia Afrika kuandaa wataalamu wazawa wa anga za juu, na pia utasikia mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi kuhusu kahawa ya Afrika inavyolenga kupanua soko lake nchini China.