Reli ya Lagos – Ibadan iliyojengwa na China yaleta fursa mpya kwa Nigeria
2021-10-21 12:03:40| cri

Reli ya Lagos – Ibadan iliyojengwa na China yaleta fursa mpya kwa Nigeria_fororder_timg (2)

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu Reli ya Lagos – Ibadan iliyojengwa na China kuleta fursa mpya kwa Nigeria. Pia tutakuwa na sehemu ya pili ya mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi kuhusu China kusaidia nchi za Afrika kupambana na janga la COVID-19.