Kutimiza ahadi ni msingi wa kupata marafiki
2021-12-06 10:36:55| CRI

Kutimiza ahadi ni msingi wa kupata marafiki_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo ulitolewa na mhenga wa zamani wa China Guanzhong, na una maana kuwa kutimiza ahadi ni muhimu zaidi miongoni mwa kanuni zote duniani. Waswahili pia wana msemo unaolingana na huu “Ahadi ni deni”.