Watu watano wafariki katika ajali ya ndege mashariki mwa DRC
2021-12-24 09:20:14| cri

Watu watano wamefariki baada ya ndege ya mizigo iliyokuwa ikitokea mji wa Goma kuanguka jana katika eneo la Shabunda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Habari zinasema, huenda chanzo cha ajali hiyo ambayo ni hali mbaya ya hewa.