Vyombo vya shaba nyeusi vya kale 2005/06/03 Katika mkoa wa Yunnan kuligunduliwa vyombo vingi vya shaba nyeusi vyenye ubora wa juu wa kisanaa. Vyombo hivyo vilidhihirisha maendeleo ya kila upande ya makabila ya kale ya Yunnan katika siasa, uchumi, mambo ya kijeshi, utamaduni na dini.
|
Kalibu za Sanamu za Udongo 2005/05/13 Sanamu za udongo zina maumbo kemkem: ya wachezaji opera, maisha ya kila siku, ndege na wanyama. Sanamu za kienyeji zinawasaidia watoto kufahamu ulimwengu na kuwapa mwamko wa elimu ya awali.
|
Zhang Cunsheng na Udongo wa Chengni 2005/03/11 Miaka mitano iliyopita Zhang Cunsheng aliuona Mto Manjano kwa mara ya kwanza, mto huo mrefu na mpana na mila mbalimbali za wakazi walioishi kando yake vilimsisimua sana msanii huyo wa jadi wa mkoa wa Anhui na kuamaua kubakia mkoani Henan ambako aliishi kwenye nyumba iliyokuwa kando kando ya mto huo.
|
Ngoma Katika Vyombo vya Kale 2005/02/18 Kimoja miongoni mwa vitu vilivyopata zawadi kwenye maonyesho ya vitu vya kale vinavyohusu historia ya ngoma za Kichina yaliyofanya jijini Beijing, spring 1989, ni chungu cha udongo chenye umri wa miaka 5,000 cha Zama Mpya ya Mawe. Katika ukingo wake wa ndani kuna makundi matatu ya wachezangoma watano watano walioshikana mikono waliochorwa kwenye mabombwe ya maua-mfano wa kale wa uchezaji ngoma ambao haujapata kuonekana nchini China.
|
Uchongaji Kwenye maganda ya Mayai 2005/01/28 Tangu zamani hadi siku hizi ufundi wa uchongaji nchini China uko wa aina tatu: uchongaji mgumu, na uchongaji kwenye vitu vidogo kabisa. Uchongaji kwenye mayai ni wa aina ya uchongaji wa juu ya vitu vilivyo vyepesi vya kuvunjika.
|
|