|
|
|
|
|
|
| |
Daktari wa China atoa mchango mkubwa kwa miaka 40 nchini Mali 2008/11/14 Tokea mwaka 1968, madaktari wa China walikwenda Mali kushughulikia matibabu na afya za wananchi wa Mali. Mwaka huu ni wa 40 tangu China itoea msaada wa matibabu kwa Mali. Katika miaka 40 iliyopita, kikundi cha madaktari wa China kiliwaokoa na kuwatibu wananchi wa Mali na kusifiwa na watu wa hali mbalimbali wa Mali.
| Daktari wa China atoa mchango mkubwa kwa miaka 40 nchini Mali 2008/11/14 Tokea mwaka 1968, madaktari wa China walikwenda Mali kushughulikia matibabu na afya za wananchi wa Mali. Mwaka huu ni wa 40 tangu China itoe msaada wa matibabu kwa Mali. Katika miaka 40 iliyopita, kikundi cha madaktari wa China kiliwaokoa na kuwatibu wananchi wa Mali na kusifiwa na watu wa hali mbalimbali wa Mali.
| Wachina wanaoishi nchini Zimbabwe wafuatilia wagonjwa wa Ukimwi wa huko 2008/11/07 Mfanyabiashara wa China Bw. Xie Chonghui ambaye anaitwa na wakazi wa huko kuwa "mfalme wa baiskeli", alasiri ya tarehe 10 Oktoba akiendesha lori lililobeba mikate alikwenda kituo cha kuwafuatilia wagonjwa wa Ukimwi kilichoko kitongoji cha mji wa Harare.
| |
|
|
|
|