Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia


Kundi la Xugong, Kampuni ya kutengeneza mashine ya Xuzhou nchini China inayoelekea kwenye soko la kimataifa
"Xugong Xugong, itakusaidia kuelekea kwenye mafanikio". Hili ni tangazo linalofahamika kote nchini China. "Kundi la Xugong" ni ufupi wa jina la Kichina la kundi la viwanda vya kutengeneza mashine la Xuzhou, hivi sasa kundi hilo limekuwa linaongoza katika sekta ya uzalishaji wa mashine nchini China.

Wanauchumi wa China watajirika kutokana na uvumbuzi
Hivi sasa uchumi wa China unakuzwa kwa haraka, watu wanasikia habari kuhusu watu wengi wanaotajirika au kuwa mashuhuri kwa usiku mmoja. Katika kipindi hiki cha leo nitawafahamisha vijana wawili waliojiajiri katika miaka ya 80 ya karne iliyopita.
More>>
  • Kuwaruhusu wakulima kukodisha mashamba kwa mkataba kutayahimiza maendeleo mapya ya vijiji vya China
  •  2008/11/14
    Mkutano mkuu wa 3 wa kamati kuu ya 17 ya chama cha kikomunisti cha China ulipitisha na kutangaza waraka muhimu unaolenga kusukuma mbele mageuzi ya vijijini, na kuamua wazi na rasmi sera ya kuwaruhusu wakulima kupanga mpango halali wa matumizi ya ardhi walizokodishwa kwa mkataba. Wataalamu husika wanaona kuwa, hatua hiyo inasaidia kupanua ukubwa wa uzalishaji wa kilimo vijijini, kubana matumizi ya ardhi, na kuinua ufanisi wa maendeleo ya uchumi wa vijijini
  • Mabadiliko ya shughuli za fedha katika miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango
  •  2008/10/31
    Katika miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufungaji mlango, mabadiliko makubwa yametokea katika shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini China, ikiwemo shughuli za fedha. Masoko ya hisa ya China yamepata maendeleo hatua kwa hatua, mabenki yanatoa huduma bora za aina nyingi; watu wa kawaida wananufaika na bima, wakiwemo wakulima wanaoishi kwenye sehemu za mbali na vijijini.
  • Wafanyabiashara wenye asili ya China wana matumaini kubwa kuhusu maendeleo ya Asia ya Mashariki Kaskazini
  •  2008/10/17
    Mkutano wa ngazi ya juu ya wafanyabiashara wenye asili ya China duniani ambao pia ni mkutano wa baraza la ushirikiano wa uchumi wa Asia ya Kaskazini Mashariki ulifunguliwa huko Changchun mkoani Jilin. Wafanyabiashara wenye asili ya China kutoka nchi na sehemu karibu 40 duniani walikutana pamoja na kujadii fursa na njia ya ushirikiano. Watu waliohudhuria mkutano huo wana matumaini makubwa kuhusu mustakabali wa maendeleo ya Asia ya Mashariki ya Kaskazini.
  • Wafanyabiashara wenye asili ya China wana matumaini kubwa kuhusu maendeleo ya Asia ya Mashariki Kaskazini
  •  2008/10/17
    Mkutano wa ngazi ya juu ya wafanyabiashara wenye asili ya China duniani ambao pia ni mkutano wa baraza la ushirikiano wa uchumi wa Asia ya Kaskazini Mashariki ulifunguliwa huko Changchun mkoani Jilin. Wafanyabiashara wenye asili ya China kutoka nchi na sehemu karibu 40 duniani walikutana pamoja na kujadii fursa na njia ya ushirikiano. Watu waliohudhuria mkutano huo wana matumaini makubwa kuhusu mustakabali wa maendeleo ya Asia ya Mashariki ya Kaskazini.
  • Kilimo cha mzunguko mkoani Qinghai chabadilisha maisha ya wakulima
  •  2008/07/22
    Kupanda mazao ya kilimo kwenye mabanda ni jambo la kawaida katika vijiji vingi nchini China. Lakini hilo si jambo rahisi kwa wakazi wa sehemu zilizoko nyuma kiuchumi kwenye uwanda wa juu. Uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet ni uwanda wenye mwinuko mkubwa zaidi kutoka usawa wa bahari duniani, ambao unasifiwa kuwa ni "paa la dunia".
    Zaidi>>
  • Hadithi ya mfanyabiashara wa Taiwan aliyeanzisha kampuni yake katika China bara
  •  2008/11/21
    Mkoa wa Fujian ulioko kusini mashariki mwa China unapakana na kisiwa cha Taiwan. Mazingira ya kijiografia, hali ya hewa na desturi za sehemu hiyo mbili zinafanana. Meneja wa kampuni ya viatu ya Yuesheng ya Fuzhou Bw. Wang Jiankun ni mfanyabiashara wa Taiwan mwenye asili ya mkoa wa Fujian. Kuanzisha shughuli zake katika China bara ni matumaini yake tangu zamani.
  • Eneo la viwanda la Suzhou lajenga eneo jipya la kisasa
  •  2008/11/07
    Eneo la viwanda la Suzhou lililoko mashariki mwa mkoa wa Jiangsu ni eneo la aina mpya la vielelezo vya ustawishaji wa viwanda. Ukienda eneo hilo utagundua kuwa katika eneo hilo si kama tu kuna vituo vya viwanda vya teknolojia mpya za hali ya juu, bali pia kuna jumba la opera na majengo ya nyumba za wakazi.
  • Mahojiano na meneja mkuu wa kampuni ya bidhaa za Kiislamu ya Abudunla ya Ningxia Bw. Yue Wenhai
  •  2008/10/26
    Kampuni ya bidhaa za Kiislamu ya Abudunla ya Ningxia ni kampuni inayoshughulikia uvumbuzi, utengenezaji na uuzaji wa bidhaa za kikabila ambazo nyingi zinauzwa katika nchi za nje. Thamani ya uuzaji kwa mwaka ni zaidi ya yuan milioni 2. Lakini katika miaka kadhaa iliyopita, kampuni hiyo bado ilipata hasara.
  • Kampuni ya Taishan yapata mafanikio kwa kutumia fursa ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing
  •  2008/10/07
    Bidhaa zinazotengenezwa na China zinatambuliwa na dunia nzima, lakini inua sifa na umaarufu wa bidhaa zinazotengenezwa na China bado ni kazi kubwa ya makampuni mengi ya China.
  • Mustakabali wa maendeleo ya ushirikiano wa kiuchumi wa eneo kubwa la Ghuba ya Beibu ni mzuri
  •  2008/09/23
    Mmkutano wa baraza la ushirikiano wa kiuchumi wa eneo kubwa la Ghuba ya Beibu ulifunguliwa tarehe 31 mwezi Julai huko Beihai, mkoani Guangxi. Maofisa wa serikali, wataalamu na wanaviwanda karibu mia 6 kutoka nchi mbalimbali zikiwemo China, Singapore, Philippines na Vietnam walihudhuria mkutano huo.
  • Makampuni ya China yajitahidi kujipatia "medali ya dhahabu" kwenye michezo ya Olimpiki ya Beijing
  •  2008/09/16
    Wanamichezo wa China walikuwa na matumaini ya kujipatia ushindi na kunyakua medali za dhahabu kwenye michezo ya Olimpiki ya Beijing. Katika miaka ya karibuni wakati uchumi uliohusiana na michezo ya Olimpiki ulipata maendeleo siku hadi siku, wanaviwanda wa China walifanya juhudi kujipatia "medali ya dhahabu", yaani umaarufu duniani.
  • Makampuni ya teknolojia za hali ya juu za mji wa Beijing yapata maendeleo makubwa katika kufanya uvumbuzi kwa kujitegemea
  •  2008/07/29
    Eneo la sayansi na teknolojia la Zhongguancun liko kaskazini magharibi mwa mji wa Beijing. Kwenye eneo hilo kuna makampuni karibu elfu 20 ya teknolojia za hali ya juu. Katika miaka ya hivi karibuni, makampuni hayo yakisaidiwa na serikali, yamevumbua bidhaa na teknolojia nyingi mpya, ambazo baadhi yake zimefikia kiwango cha kisasa duniani, na makampuni hayo yamepata masoko ya nchini na nchi za nje.
  • Maendeleo makubwa ya shughuli za utengenezaji wa soksi mjini Datang
  •  2008/07/15
    Mji mdogo wa Datang haujulikani kwa watu wengi, lakini unajulikana kwa wanaviwanda kutokana na shughuli zake za soksi. Shughuli kamili za kutengeneza malighafi mbalimbali na soksi na kuuza soksi zimeanzishwa huko. Baada ya kusitawisha shughuli hizo kwa miaka 20 iliyopita, watu wengi zaidi wa mji huo wametambua kuwa, mji huo hauwezi kuwa kituo muhimu cha soksi duniani kwa kuongeza utengenezaji wa soksi tu, bali ni lazima wafanye uvumbuzi ili bidhaa zao ziingie kwenye masoko ya kimataifa.
  • Mkoa wa Hainan wapata mafanikio makubwa katika kazi ya kuhifadhi mazingira.
  •  2008/07/01
    Mkoa wa Hainan umesifiwa kuwa bustani wa mwaka mzima nchini China. Mwaka 2007 eneo linalofunikwa na miti mkoani humo lilikuwa zaidi ya asilimia 57, ambayo ni mara tatu ya wastani wa kiasi hicho nchini China. Mkoani humo kuna bustani 8 za misitu za ngazi ya kitaifa na hifadhi 69 za maumbile. Robo ya eneo la mkoa huo ni hifadhi ya mazingira ya viumbe ya kitaifa. Wakati uchumi wake unapopata maendeleo ya haraka, mkoa huo unahakikisha mazingira mazuri zaidi ya viumbe.
    Zaidi>>
    Zaidi>>