2006/12/26 Katika kipindi hiki maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, Maskani ya Panda", leo tunawaletea makala ya tatu kuhusu utamaduni wa dini ya kibuddha.
2006/11/21 Tukizungumzia Mkoa wa Sichuan, China, labda marafiki zetu wengi hawaujui, lakini kama tukitaja Panda, huenda watu wote wanaweza kufurahia wanyama hao wanaopendeza. Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi ya China ndio maskani ya wanyama Panda.
2006/07/18 Tarehe 27 Februari mwaka huu, matangazo ya CRI 91.9 FM yalianzishwa rasmi huko Nairobi Kenya. Hiki ni kituo cha kwanza cha matangazo ya FM kilichoanzishwa na Radio China kimataifa katika nchi ya nje. Karibu nusu mwaka umepita tangu kituo hiki kianzishe matangazo yake kwenye wimbi la FM, kituo hiki kinaendeshwa vizuri na kimesifiwa kwa kauli moja na watu wa pande mbalimbali nchini Kenya. ?
2006/07/04 Reli ya Qinghai-Tibet yenye urefu wa kilomita 2,000 inayopita kwenye uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet ambao ni uwanda wa juu wenye mwinuko mkubwa zaidi duniani imezinduliwa rasmi tarehe 1 Julai mwaka huu
2006/06/20 Mwaka huu ni mwaka 50 tangu China na Afrika zianzishe uhusiano wa kibalozi. Je, urafiki na ushirikiano kati ya China na Afrika umeendelea vipi katika miaka hiyo 50? Ushirikiano wa namna hii umewaletea wananchi wa pande hizo mbili manufaa gani?
2005/06/17 Umoja wa Mataifa tarehe 16 ulitoa taarifa ikisema kuwa, hali ya hewa inayobadilika kuwa joto imesababisha asilimia 41 ya ardhi ya ukame kote duniani inavia siku hadi siku, na eneo la jangwa kote duniani linapanuka siku hadi siku, na idadi kubwa ya watu watakabiliwa na matatizo ya maisha.
2005/05/19 Mkutano wa pili wa baraza la wakuu wa wilaya zinazozalisha maua kwa wingi nchini China, yaani mkutano wa pili wa wakuu wa kampuni za maua wa China tarehe 18 ulifanyika huko Wuhan