• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Machi-17 Machi)

    (GMT+08:00) 2017-03-17 18:36:53

    Kundi lenye uhusiano na Al-Qaida latangaza kuhusika na mashambulizi Damascus

    Kundi la Nusra Front lenye uhusiano na kundi la Al-Qaida limetangaza kuhusika na mashambulizi ya mabomu yaliyotokea Jumamosi mjini Damascus na kusababisha vifo vya watu 74.

    Kundi hilo limetoa taarifa hiyo siku moja baada ya kundi jingine la waasi Levant Swords kutangaza kufanya mashambulizi hayo.

    Waasi wamesema waumini wa dhehebu la Shia kutoka Iraq hawakuwa mahujaji, bali walikuwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono serikali ya Syria katika kupambana na uasi wa miaka sita.

    Mashambulizi mawili ya mabomu yalitokea mfululizo Jumamosi dhidi ya wairaq wa dhehebu la Shai waliokuwa wakipanda mabasi kelekea hekalu kwenye eneo la Shaghour, sehemu kongwe ya Damascus.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako