• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 19-Septemba 25)

    (GMT+08:00) 2020-09-25 16:14:40

    Serikali ya Uganda tayari imetangaza calenda mpya ya elimu

    Serikali ya Uganda tayari imetangaza calenda mpya ya elimu baada ya shule kufungwa kwa karibu miezi sita kutokana na janga la Corona Duniani.

    Bwana Alex Kakooza, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, alithibitisha jana kwamba shule zitaanza Oktoba 15 kwa muhula wa pili na kufungwa katikati ya Desemba.

    Muhula wa tatu utaanza katikati ya Januari na kumalizika Aprili.

    Hata hivyo wizara elimu hawaja wa kikishia wazazi kuwa watoto hawataugua. Lakini wamesema elimu ni jukumu la pamoja.

    Walakini, Bw Kakooza alisema wizara haiwezi kuhakikisha chochote kwa sababu bajeti yao ni ndogo lakini alitoa wito kwa umma kuunga mkono serikali wakati wanajaribu kufunguliwa kwa awamu


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako