• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • BRI yapanua uchumi wa Kenya 2019-06-24

    Kwa mwenendo wa sasa usio na uhakikisho katika soko la kimataifa, Kenya inabakia na matumaini katika uchunguzi wake wa fursa mbalimbali za biashara nchini China kwa jitihada za kuongeza Pato la Taifa. Mradi wa Kenya ukuaji wa dola bilioni 150 kwa mwaka wa 2024 dhidi ya kiwango cha ukuaji wa sasa, ambacho kinasimama kwa dola bilioni 79.21.

    • Expo wa Hunan kuboresha ushirikiano wa biashara kati ya China na Afrika 2019-06-21

    Wiki ujao kuanzia 27-29 Juni, China itakuwa mwenyeji wa expo wa biashara yake ya kwanza ya kihistoria ya China-Afrika katika Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan, hatua ambayo itafungua sura mpya katika historia ya biashara ya nchi zote mbili.

    • Tamasha la mashua ya Dragon 2019-06-12
    • Expo kusaidia Kenya kupenya soko la China, asema balozi wa Kenya nchini China 2019-05-21

    Kenya inatangaza mazao yake katika kipindi cha 2019 cha Kimataifa cha Utamaduni wa Beijing kinachotaka kupenya soko la Kichina na kukuza usawa katika biashara kati ya nchi hizo mbili, Balozi wa Kenya nchini China Sarah Serem amesema.

    • Wana Tong na utamaduni wao 2019-05-20
    • StarTimes imesema mpango wa kujenga makao makuu yake ya Afrika nchini Kenya bado iko imara 2019-05-20

    Makao makuu ya StarTimes mjini Beijing imethibitisha kwamba makao makuu yake ya Afrika na kituo cha utangazaji bado kitajengwa nchini Kenya licha ya mradi unachukua muda mrefu kabla ya kutekelezwa.

    • Mradi wa nne wa Silk Road na Uwekezaji na Majadiliano ya Wafanyabiashara wa Ushirikiano kati ya Mashariki na Magharibi ya China waanza leo mjini Xi'an 2019-05-14

    Mradi wa nne wa Silk Road na Uwekezaji na Majadiliano ya Wafanyabiashara wa Ushirikiano kati ya Mashariki na Magharibi ya China umeanzishwa katika Xi'an, Mkoa wa Shaanxi na viongozi wakisisitiza haja ya kutekeleza maamuzi yaliyofanywa wakati wa viongozi wa mkutano wa pili wa Bustani na Barabara mwezi uliopita.

    • China kuwa taifa bila umasikini mwaka 2020 2019-05-14

    China inatumaini kuwa itafikia kupunguza kiwango cha umaskini kabisa kwa mwaka wa 2020, Makamu wa Waziri wa Kimataifa, Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Uchina Guo Yezhou amesema.

    • China itaendelea kutoa msaada ya maendeleo kwa nchi za Afrika 2019-05-09

    Serikali ya China inasema itaathiri misaada zaidi ya madeni kwa nchi fulani za Afrika na kuendelea kutoa mikopo ya riba ya bure.

    • China inataka uwazi katika kutekeleza miradi za Ukanda mmoja, Njia moja 2019-04-28

    Rais wa China Xi Jinping na viongozi wengine wa ulimwengu wameimisha maana ya kukuza maendeleo ya kiuchumi kwa nchini zote duniani kwa kile bwana Xi alichosema kama kujenga jingo la jumuiya iliyo na baadaye kwa kwa watu kote ulimwenguni.

    • Viongozi kutoka nchi za Ukanda mmoja, Njia moja waahidi maendeleo bora 2019-04-28

    Rais wa China Xi Jinping na viongozi wengine kutoka nchi za Ukanda mmoja, Njia moja wamekubali kuendeleza mpango huo kwa nyanja za juu.

    • Mkutano kati ya Rais Kenyatta na mwenzake ya China Xi Jinping huwezesha Kenya nafasi ya kuuza parachichi kwenye soko la China 2019-04-25

    Rais Uhuru Kenyatta leo alikutana na mwenzake wa China Xi Jinping na kusisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiana wa kufaidi upande zote.

    • Filamu ni chombo bora cha kuongoza ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika 2019-04-22
    Tamasha la filamu la Beijing unapokamilika wiki hii, kuna mambo mengi ambayo China inatakikana kuyafanya kuhakikisha ushirikiana baina ya Kenya na China kupitia Ukanda mmoja, Njia moja umekuzwa.
    • Filamu ni chombo bora cha kuongoza ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika 2019-04-21
    Tamasha la filamu la Beijing unapokamilika wiki hii, kuna mambo mengi ambayo China inatakikana kuyafanya kuhakikisha ushirikiana baina ya Kenya na China kupitia Ukanda mmoja, Njia moja umekuzwa.
    • Jukwaa la Ukanda mmoja, Njia moja kuanza Alhamisi ijayo mjini Beijing 2019-04-19

    China itahudhuria jukwaa la pili la ukanda na barabara kuanzia wiki ujao 25-27 kutoka kwa kushinikiza kwake ili kuunganisha nchi na baharini an ardhi kupitia mtandao wa miundombinu na Afrika, Asia, Mashariki ya Kati na Ulaya.

    • Wataalamu wa Afrika na China wamehimizwa kuendeleza ushirikiano wa Afrika na China kupitia kufanya utafiti 2019-04-09

    China imehimiza wasomi wake na wa Afrika kuendelea kufanya utafiti mbali mbali ambazo zitaimarisha ushirikiano. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa taasisi ya utafiti wa China-Afrika leo, mkurungezi wa maswala ya nje katika kamati kuu ya Communist Party of China (CPC) bwana Yang Jiechi alisisitiza kuwa wasomi mbali mbali wanaezasaidia ushirikiano wa watu kwa watu katika China na Afrika.

    • Uchina kuendelea kushirikiana na nchi za Afrika kuhifadhi wanyamapori 2019-04-05

    Uchina umesema utaendelea kushirikiana na nchi za Afrika kulinda wanyamapori na kusema kuwa mchina yeyote anayeishi kwa nchi za nje atakayepatikana akishiriki biashara haramu ya wanyamapori lazima ashtakiwe kulingana na sheria za nchi hizo.

    • Sanya: Mji wa Uchina wa utalii uliyochanganywa na kilimo 2019-04-03

    Kama wewe ni mwanaafrika mashariki, unaposkia jina 'Sanya' unafikiria tendo la kuweka vitu tofauti pamoja ilhali kwa wachina, inamaanisha mji wenye sifa mbali mbali ikiwemo hewa safi kuliko mji wa Beijing.

    • Tutafaulu kwa mazungumzo yetu na Marekani, Uchina yasema 2019-03-15
    Uchina unatarajia matakeo bora kwenye mazugumzo yao na Marekani kuhusu ushirikiana wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili unayo endelea, waziri mkuu Li Keqiang atangaza siku ya Ijumaa.
    • Uchina yakanusha madai ya kurejesha utawala wa kiukoloni Afrikani 2019-03-08
    UCHINA umekanusha madai kwa inapanga kurejesha utawala wa kibeberu afrikani kupitia mpango wake wa kujenga barabara unaojulikana kama "Belt and Road Initiative" (BRI).
    • China yaihakikishia dunia kuwa uchumi wake upo imara 2019-03-06

    Hivi karibuni kumekuwa na wasiwasi miongoni mwa nchi mbali mbali ulimwenguni kuhusiana na kuzorota kwa uchumi nchi wa China ambayo ni ya pili duniani kuwa na uchumi bora baada ya Marekani.

    • Victor Onyango 2019-03-06
    1  2  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako